Kamusi Ya Kiswahili Na Kiingereza Na

Kamusi Ya Kiswahili Na Kiingereza Na

Kamusi Ya Kiswahili Na Kiingereza Na Rating: 9,4/10 4026 votes

Xplode professional for edius 5 download. Kiswahili ni lugha ya Kibantu yenye misamiati mingi ya Kiarabu (30%), lakini sasa ya Kiingereza pia (10%), inayozungumzwa katika eneo kubwa la Afrika ya Mashariki. Lugha hii ina utajiri mkubwa wa misamiati, misemo, methali, mashairi, mafumbo, vitendawili na nyimbo.

Habarini wote! Kutokana na maombi ya watu wengi waliokuwa wanatafuta hii KAMUSI (Dictionary) ya TUKI - Kiswahili kwenda Kingereza na Kingereza kwenda Kiswahili. Kuliko kum-PM mtu mmoja mmoja nimeona ni-i-upload into external servers ili kila mtu aweze kui-download kwa maendeleo ya kila mmoja wetu. Link yenyewe ni hii hapa (download): N.B: nime-izip, kwa hiyo uki-download just unzip it alafu uitumie. Kama ukiona post hii imekuwa ni ya msaada kwako si mbaya ukagonga kile kidude chetu cha LIKE!. All the best!.

Wanatovuti wapendwa: Mimi mzungu wa Ireland nimetunga Kamusi ya kwangu ambayo jina lake ni 'Istilahi ya Ngamizi'. Nimerejea vyango vingi kukusanya msamiati unaofaa. Ujumbwe nimezisoma hapa kwenye tovuti hii asubuhi leo uliniduwaa kwa sababu ya kuwepo kwa maneno ya Kiingereza k.m download, link na kadhalika.

Maneno hayo yananiaibisha. Tafadhali tutumie Kiswahili inayopatikana kwa urahisi ila tufanye jaribio zaidi kuwa makini. Ikiwa wataka nakala ya Kamusi yangu hiyo ya Ngamizi (Tarakirishi) ieleweke kwamba hakina ithibati wala sijapata ruzuku kutoka kwingeneko kufanya kazi hiyo. Matumaini yangu ndio kuwatolea wapendao Kiswahili cha kisasa ili pamoja tuboreshe hali ya kilugha hasa kwenya fani ya kingamizi. Nitafurahi ikiwa makosa yote kamusini yanifikishe ili nafaidi nafasi ya masahihisho baadaye!

Nitumie anwani ya pepe nikutumie kamusi. Ya kwangu ndio: Asante. Wanatovuti wapendwa: Mimi mzungu wa Ireland nimetunga Kamusi ya kwangu ambayo jina lake ni 'Istilahi ya Ngamizi'. Nimerejea vyango vingi kukusanya msamiati unaofaa. Ujumbwe nimezisoma hapa kwenye tovuti hii asubuhi leo uliniduwaa kwa sababu ya kuwepo kwa maneno ya Kiingereza k.m download, link na kadhalika. Maneno hayo yananiaibisha.

Kiswahili

Tafadhali tutumie Kiswahili inayopatikana kwa urahisi ila tufanye jaribio zaidi kuwa makini. Ikiwa wataka nakala ya Kamusi yangu hiyo ya Ngamizi (Tarakirishi) ieleweke kwamba hakina ithibati wala sijapata ruzuku kutoka kwingeneko kufanya kazi hiyo.

Matumaini yangu ndio kuwatolea wapendao Kiswahili cha kisasa ili pamoja tuboreshe hali ya kilugha hasa kwenya fani ya kingamizi. Nitafurahi ikiwa makosa yote kamusini yanifikishe ili nafaidi nafasi ya masahihisho baadaye. Nitumie anwani ya pepe nikutumie kamusi. Ya kwangu ndio: Asante.

Kamusi Ya Kiswahili Na Kiingereza Na
© 2019